Mt. Rose wa Lima (Picha)

Sh10,000

Sold By: rich

In stock

Picha ya ukubwa wa A4 ya Mtakatifu Rosa wa Lima (i.e.,  St. Rose of Lima). Mtakatifu huyu aliishi maisha ya kujinyima na kujiondoa kabisa katika furaha zote za kidunia kwa ajili ya Mungu (i.e., asceticism).

Ni msimamizi wa washoni, familia zenye migongano, bara la Latin America na watu wa asili ya America, nchi za Ufilipino, Peru, na majimbo mbalimbali duniani.

 

For other sizes, kindly contact us.

Compare
Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Vendor Information

  • Vendor: rich
  • No ratings found yet!

Categories

saint-rose-of-lima

Mt. Rose wa Lima (Picha)

Sh10,000

Add to Cart